MAMBO YATAYOKUFANYA UPATE KAZI KIRAHISI
Jinsi ya kuepukana na ukosefu wa kazi
Kijana we ninguvu kazi ya taifa Itakuaje usipokuwa na kazi? Mbeleni utaishi vipi usipokuwa na kazi? Kwanini huna kazi ? Utakaa bila kazi mpaka lini? Ndugu yangu wewe ni kiongozi na mjenzi wa taifa la kesho je? ulishawahi kujiuliza kama kunataifa LA wasio na kazi? Watakula nn?vaa nn? Hivyo basi nakupa njia za wewe kuwa na kazi
NDOTO Ulisha wahi jiuliza unandoto gani ? Na umesha wahi ifanyia kazi? Kuwa n ndoto ni nzuri zaidi Kwa kuwa utajiamini na kuifanyia kazi JUHUDI Hutakiwi kukaa nakusubiri upelekwe huku wala kumsikiliza mtu Anza mwenyewe Weka jitihada zako ilikufanikisha yote WAZO PEVU Nimuhimu sana maisha ni ilikujikwamua lazima uwe na wazo pevu litakalo kusaidia kua na kitu ambacho nichakwako na ukipendacho na utaweka jitihada ilikufikia lengo MAPENZI Lazima uwe na mapenzi na kitu unachotaka kukifanya Ufanye kwamoyo Na mafanikio yatakua mlangoni kwako

Kwa maoni,
0766 641 185
0766 641 185
Facebook @ Faith Msuya
Instagram @ FaithMsuya
Instagram @ FaithMsuya
Email | iamfaithmsuya@gmail.com
Comments
Post a Comment