Posts

Showing posts from 2017

TAFSIRI YA UREMBO

Image
Urembo siku hizi ni mtaji au daraja la kupata mambo mengi maishani. Ukishabikia sana kujenga tabia njema ukasahau kuboresha urembo basi unaweza kupitwa na fursa mbalimbali ikiwemo uchumba na ndoa. Sijawahi kusikia mwanaume akifanya “ waxing  ya ndevu” aumie kwa ajili ya kuwa soft ili ndevu zisimkwaruze mwanamke…! Amkeni! Misemo imesheheni siku hizi utasikia “Mwanamke urembo”! Hivi uzuri au urembo wa mwanamke wa kiafrika siku hizi ni nini? Wahenga walikuwa na usemi “Uzuri wa mwanamke siyo sura au urembo bali ni tabia njema”. Methali hii sina hakika kama bado inabeba maana yoyote kwa sababu kila mwanamke anahangaikia sana urembo na katika mahangaiko hayo huweza kujikuta akisahau kutunza tabia njema. Kwanini hali imekuwa hivyo, ni swali la kujiuliza. Urembo siku hizi ni mtaji au daraja la kupata mambo mengi maishani. Ukishabikia sana kujenga tabia njema ukasahau kuboresha urembo basi unaweza kupitwa na fursa mbalimbali ikiwemo uchumba na ndoa. Hata hivyo kwa miaka ya siku hizi

MAMBO YATAYOKUFANYA UPATE KAZI KIRAHISI

Image
Jinsi ya kuepukana na ukosefu wa kazi Kijana we ninguvu kazi ya taifa Itakuaje usipokuwa na kazi? Mbeleni utaishi vipi usipokuwa na kazi? Kwanini huna kazi ? Utakaa bila kazi mpaka lini? Ndugu yangu wewe ni kiongozi na mjenzi wa taifa la kesho je? ulishawahi kujiuliza kama kunataifa LA wasio na kazi? Watakula nn?vaa nn? Hivyo basi nakupa njia za wewe kuwa na kazi NDOTO Ulisha wahi jiuliza unandoto gani ? Na umesha wahi ifanyia kazi? Kuwa n ndoto ni nzuri zaidi Kwa kuwa utajiamini na kuifanyia kazi JUHUDI Hutakiwi kukaa nakusubiri upelekwe huku wala kumsikiliza mtu Anza mwenyewe Weka jitihada zako ilikufanikisha yote WAZO PEVU Nimuhimu sana maisha ni ilikujikwamua lazima uwe na wazo pevu litakalo kusaidia kua na kitu ambacho nichakwako na ukipendacho na utaweka jitihada ilikufikia lengo MAPENZI Lazima uwe na mapenzi na kitu unachotaka kukifanya Ufanye kwamoyo Na mafanikio yatakua mlangoni kwako Kwa maoni, 0766 641 185 Facebook @ Faith Msuya Instagram @ Fait

JIFUNZE KUHUSU UREMBO WA MACHO

Image
Eyeshadows   ni urembo ambao hutumiwa juu na chini ya kope. Njia hii husaidia kuongeza kina na mwelekeo wa macho ya watu. Watu wanapenda kutumia aina hii ya urembo ili kuweza kuimarisha muonekano wao. Kama wewe ni mweusi jaribu kutumia rangi angavu ili kuimarisha muonekano wako ukitumia rangi za giza zitakufanya uonekane vibaya. Ni muhimu kuhakikisha kuwa unakuwa makini ili kuweza kuweka macho yako katika hali bora zaidi ya kupendeza. Wakati mwingine  Eyeshadows  hufanya macho kuonekana makubwa au madogo. Lakini cha muhimu kuzingatia je rangi unayopaka inaendana na macho yako au ngozi yako. Unatakiwa kupaka rangi kwa ustadi mkubwa huku ukiweka mkolozo katika kona za macho yako. Ni vizuri kama utatumia eyeshadow ya penseli kwani huwa rahisi kuitumia na inapatikana kwa urahisi madukani.Kuna rangi za aina nyingi ambazo hupendeza wapakaji, rangi hizo ni pamoja na pink plum, matumbawe na shaba, bluu na kijani pamoja na fedha, dhahabu na nyingine nyingi. Rangi hizi hutofau

JINSI YA KUONGEZA KUJIAMINI KATIKA MAISHA YAKO

Image
HABARI ZENU WAPENDWA WANGU, KARIBUNI TENA KATIKA KURASA ZETU TUNAZOWEZA KUJIFUNZA NA KUONGEZA UJUZI WA MAMBO MBALIMBALI KUHUSU UREMBO, SANAA NA HATA KUPATA MAFUNDISHO YATAYOKUSAIDIA KATIKA MAISHA YAKO YA KILA SIKU. NI JAMBO LISILOPINGIKA KUWA KATIKA MAISHA KILA MTU ANATAMANI KUJIAMINI, PAMOJA YA KUWA KUNA MAMBO MENGI YANAYOWEZA KUKUFANYA UWEZE KUJIAMINI KATIKA MAISHA YAKO, TUSISAHAU KWA WANAWAKE UREMBO NI MOJA KATI YA NGUZO KUU KATIKA HILI. LEO TUTAENDA KUTAZAMA MAMBO KADHAA YATAYOKUONGEZEA KUJIAMINI,  KUJIAMINI  # Confidence .. Ama kwa hakika kila mtu anapenda kujiamini, kila mtu anatamani afanye jambo pasi kuwepo na hofu ndani ya moyo wake, hofu itakayomzuia as hindwe kuwa na nguvu ya kufanya, kuamua ama kuzungumza chochote kulingana na hisia zake.. Leo nitakupatia mambo matatu 3 yatayokuongezea kujiamini. 1. LAZIME UTAMBUE NINI NINAKUFANYA USIJIAMINI/ Hii inaweza kuwa muonekano wako, inaweza kuwa hali yako ya kiuchumi lakini pia inaweza kusababishwa na mazingira ama watu

JIFUNZE KUCHEZA NA RANGI YA VIPODOZI KATIKA KUKAMILISHA UREMBO WAKO

Image
UREMBO NI MAISHA, YAPO MAMBO MBALIMBALI YANAYOWEZA KUKUONGEZEA MVUTO KATIKA MUONEKANO WAKO Moja ya mambo hayo ni ujuzi na uelewa wa kutumia rangi katika kujipodoa kwani ni wanawake wachache wenye ujuzi huu. Katika makala hii, nitakuelezea namna ya kuchanganya na kutofautisha rangi za vipodozi, lengo likiwa ni kuboresha muonekano wako. Uchanganyaji wa rangi za vipodozi ni muhimu sana kwani katika kujipodoa, rangi zote za vipodozi unavyopaka zinatakiwa zioane ili kuleta muonekano ulio sawa na wa kueleweka. FAITH MSUYA, katika moja ya events. Kwanza kabisa unatakiwa uwe makini katika kuoanisha rangi za vipodozi pamoja na rangi ya ngozi yako, hivyo katika hili unatakiwa kuwa na ujuzi maalumu ili usije ukafanya makosa na kuharibu muonekano wako. Pia inabidi ufahamu hatua za upakaji vipodozi ili usije ukafanya vipodozi vingine visionekane katika uso wako. Namna ya kuoanisha na kutofautisha rangi. Siku zote vipodozi vyako lazima viendane na mavazi yako ili kuleta maana zaidi

ZINGATIA HIVI WAKATI WA KUJIREMBA MTOTO WA KIKE

Image
Jamani leo nimeona leo niliongelee hili kuna baadhi ya wadada tunatiana aibu unakutana na mdada shughulini /njiani tena mchana amejipodoa kama kinyago amepaka poda sio ya rangi yake mwenyewe mweusi kapaka poda ya mtu mweupe wadad tunatiana aibu kwa hili Au amejipodoa miwanja hizo eye shadow kama jini maimuna . Ukweli urembo ni kila kitu kwa mwanamke tujitahidini kuwa simple maana kila kitu kina kiasi kikizidi mtihani. JINSI YA KUJIPAMBA SIMPLE. Kwanza kujipamba usoni wanja ndio kila kitu ukipatia kujichora wanja vizuri then ukapaka poda inayoendana na ngozi yako mdada hapa umemaliza shughuri. Sehemu nyingine ya wanja chini ya kope,  hii sehemu muhimu sana jichore na wanja vizuri tumia wanja kwa mchana maana eye rayna zingine mchana zinazingua labda usiku lakini mchana kwa ushaur wangu pendelea sana kutumia wanja.bila kusahaua masikara kuchania nyusi zikae fresh.hapa mdada utakuwa simple lakini utakuwa amaizing. Mwisho kabisa lipstic kama utapendelea sio mbaya